Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

Mnamlalamikia aliyepo mukiwa na nani? Kwani huyu ana uovu gani? Acheni kulazimisha kumfanaisha Samia na shetani Magufuli
Usifosi tufanane fikra. Amini unachoamini na mimi niamini ninachoamini.

Ningesema tunalalamika tukiwa na nani ila utasema nimemdhihaki mzazi wako
 
Usifosi tufanane fikra. Amini unachoamini na mimi niamini ninachoamini.

Ningesema tunalalamika tukiwa na nani ila utasema nimemdhihaki mzazi wako
Magufuli ni shujaa wa wajinga tu wanaokubal kujiita wanyonge. Yule muuaji alitumia UWONGO kuwa brainwash lakini alikuwa mwizi pia na MKATILI. Muache aendelee kuungua na moto wa jehanam
 
Tanzania ilikuwapo kabla Magufuli hakuwa Rais na itaendelea kuwapo.

Magufuli aliwa BRAINWASH kwa kauli zake kuwa toka tupate uhuru yeye ndiye kafanya makubwa kuliko akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwette. Na nyinyi mlivyo na akili ya mende mukamuanini.

Mshenzi yule alikufuru kwa kusema akifa yeye hakuna atakayejenga miundombinu. Mungu akamsikia na akamtanguliza ahera. Huku miundombinu inajengwa kila kukicha
 
Magufuli ni shujaa wa wajinga tu wanaokubal kujiita wanyonge. Yule muuaji alitumia UWONGO kuwa brainwash lakini alikuwa mwizi pia na MKATILI. Muache aendelee kuungua na moto wa jehanam
Inaelekea una hakika sana na hatma yako kiasi cha kutoa hukumu kabisa.

Magufuli hakuwa malaika ila Samia sio malaika pia. Na ushetani unazidiana.

Bora ya shetani anaejitanabaisha kuwa ni shetani kuliko hata shetani anaejinasibu kuwa ni malaika. Magufuli hakuwahi kuweka kiini macho juu ya asili yake ya ukatili.
 
Reactions: Cyb
Siku zake zilishafika tu, ingekuwa kila utawala unaolalamikiwa basi Mungu anamchukua muhisika dakika hii tusingekuwa na raisi tulienae.
Utamlinganisha Samia na lile shetwani jpm
 
Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli.

Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu

Ahsante Mungu
kwaiyo hii ndo TANZANIA uliokua unaitaka,pole sana watanzania bado tunasafari ndefu sana
 
Mungu alitupenda Watanzania,tunamwomba aendelee kutupenda
 
Umeandika maneno magumu!
 
Aliiomba sana kazi ya kuwatumikia malaika hatimae alifanikiwa kuianza.
 
Magu alikufa baada ya kupoka kwa makusudi haki za watu za kuishi akitumia madaraka ambayo pia aliyapata kwa njia za udanganyifu. Ndipo mkono wa Bwana wa Majeshi ukamgusa - chali.

CCM mna la kujifunza hapo, hamtaki endeleeni na hayo mnayitaka kuyafanya 2025. Usije kutulilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…