Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Mkuu kumbuka mi sijafundisha karate za mtaani ,master wangu alikuwa ni mjomba wangu na yeye ndo alikuwa ananielekeza ,nimeivaa Sana kwenye huo mchezo,na vigumu sana mimi kuhombana na mtu na ikitokea huwa naonya tu maana nikipiga madhara yake ni makubwa sana na mjomba alifundisha kuvunja inapotekea mimi kuzindiwa na hapo ndo kuna ukali wangu ila kuweka mwili sawa na kutafuta nguvu za mkono na huwa push up ndo ilisababisha usugu huu.nimejifunza karate na hakuna nisichokijua ndo ya huo mchezo
Nifundishe na mimi mkuu,maana kuna jamaa ninamdai pesa yangu hataki kunilipa.
 
Dah! Ningekuwa Mimi walahi wangekoma watu!.. hakuna Cha kufuta sugu wala nini atakae nichokoza lazima ataniambia ikitoka herufi Z inafuata herufi gani!!.. alasivyo namng'oa mimeno yale ya uwalazani Bata kabisa!.. mi siwezi jisumbua kufuta sugu..[emoji28]
Shukuru Mungu amekuepusha na Segerea.
 
Ukishajifunza huo mchezo automatically unakuwa mpole Sana coz unajua madhara gani mtu ukimpiga sehemu fulani ana pata madhara makubwa ila Kama unaupenda jifunze kwa self defense Mana hujui lin utakutana na kisanga itakuokoa Mana ukimzibua mtu tu maygel ilioshiba lazima wajue hapa Kuna bingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maygel ndio nini mkuu?
 
Back
Top Bottom