Nilianza kilimo cha matikiti kwa mbegu saba tu za matikiti. zile mbegu saba zilivyoota na kuzaa, kila mtikiti ulitoa matikiti 15. 15x7 = 105. Kila tikiti niliuza kwa shilingi 1500. 1500x105= 157500. Huo ndo ulikuwa mwanzo wangu wa kutengeneza pesa nyingi kupitia kilimo cha matikiti. sasa hivi nina mashamba makubwa ya matikiti...