Nilianza na kidonge kimoja Sasa Nina hospitali

Nilianza na kidonge kimoja Sasa Nina hospitali

Nilianza kilimo cha matikiti kwa mbegu saba tu za matikiti. zile mbegu saba zilivyoota na kuzaa, kila mtikiti ulitoa matikiti 15. 15x7 = 105. Kila tikiti niliuza kwa shilingi 1500. 1500x105= 157500. Huo ndo ulikuwa mwanzo wangu wa kutengeneza pesa nyingi kupitia kilimo cha matikiti. sasa hivi nina mashamba makubwa ya matikiti...
 
Back
Top Bottom