Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

😂😂
Mimi naona kama nimemuelewa mshkaji lakini!?
Nilichokielewa ni kwamba ku open up ninkwa mtu ambaye ana show interest, like u said, appointment
Yap Kaka, Nime muelewa pia ana toa huduma ya suluhisho la matatizo kwenye sekta ya it.

Sasa hapa Ina depend, huenda ana mfumo labda wa ku store data, au kuweka ulinzi.
 
Yah probably, amenikumbusha kitambo flani.
Ujue Mpaji Mungu kuna watu ni wazuri technically na ana knowledge on how things and solutions works out so anaanza project yake akiwa na mindset ya kiutatuzi wa tatizo flan zaidi. Kibaya ni kwamba kwakujua au kutokujua huyu mtu unaqeza kuta hana kabisaaa wala hakufikiria kimlengo wa biashara so hana "bussines-know-how" na matokeo yake sasa anajikuta huduma imepokelewa vizuri na wateja wapo na pengine wengi kuliko alivyotegemea, sasa namna ya kuwa handle kibiashara ndio anajikuta anashindwa kujua afanyaje??? Hana entrepreneurship skills, wala management skills wala customer care skills wala sales skills wala planning skills, yeye anajua tu ku programm aka install software kwa mteja but what next?? Sijui umenisoma Intelligent businessman ??
So unajikuta unakwama na usipokua makin kila kitu kitaishia hapo. So mshkaji naona ameligundua hilo atleast au kuna mtu kaliona na akamshauri. So the guy is somehow wise.

Ni kama facebuk ilipokua inaanza, kiutan utan Mark anajikuta users wanaongezeka, more server are required more time to do support ins needed na yeye ni mwanafunzi hana hata 100 ku handle hayo. Ni mpaka pale alipokutana na Parker akamwambia mzee hii sio tena project ya kishule shule ulipoanza ukiwa "college domitory" acha hiyo mindset, hii ishakua biznes tayar and u need to get off the campus njoo silicon valley, tuanze kutafuta investors vinginevyo u r foing to crash
 
Mimi nime msoma Sana, Nina majamaa mule soko la karume, pale machinga complex ni mafundi PC and they are doing quite good
 
Back
Top Bottom