Niliapa sintakuja piga mwanamke

Niliapa sintakuja piga mwanamke

Nlikuwa sijisikii vizuri kuna Mtu alinikwaza na kuharibu siku yangu so nikaona ngoja nimuite
Khantwe
na kama ukiitika vizuri nitapona....na kweli nimepata Psychological relief baada ya kuona neno "Abee" kumbe hili neno linaweza kumtoa relief Mtu daaa...nilitaka niendelee kusema nikagundua kumbe haupo karibu uko hukooooo....😉😉😛
Hahaa nashukuru kusikia kuwa nimechangia kupona kwako. Mungu wa ajabu mwee kumbe hata mimi naweza kuponya mtu japo si dakitari
 
Hahaa nashukuru kusikia kuwa nimechangia kupona kwako. Mungu wa ajabu mwee kumbe hata mimi naweza kuponya mtu japo si dakitari
Siku nyingine sitoiyta tuu bali nikukuelezakabisa shida yangu ya ndani aiseee najua ntapona zaidi....au unaonaje?
 
Back
Top Bottom