Nilichelea kuoa ila kwanza nitafute hela

Nilichelea kuoa ila kwanza nitafute hela

Walikuwa wananiambia oa nawaambia bado kwanza hawaelewi kwa nini kumbe mwenzao natafuta pesa kwanza, vijana wengi siku hizi wanaowa wakiwa bado hawana hela

Halafu wake zao tunakuja kuwala sisi wenye hela sababu nimekuwa nikiona wakina pale dukani kwangu wanavyobabaika wadada wazuri walitaka niwape pochi, nguo na vyatu wanipe mapenzi na huku wameolewa kabisa

Mimi ningekuwa muhuni nigetembea nao wanawake wengi sana basi tu vile si mtu wa mademu sana maana wanajua nina vijiela kidogo basi kila mara wananisifia mimi endinsamu mara napendeza sana mara sijui nini yaani mtu unaweza pata maugonjwa kama haupo makini.
Wewe Bado huna hela endelea kukuza kamtaji Kako ka mapochi
 
Back
Top Bottom