Nilichelewa kulijua hili, Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi? halafu kuna hadaa na kuhadaiwa?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,625
Reaction score
89,385
Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi!, halafu kuna hadaa na kuhadaiwa!.

Hadaa ni pale wewe mwenyewe unakuwa mchovu wakufatilia mambo kiundani ili ujue ukweli halafu ndo uchague upande!, na kuhadaiwa ni kutokana na huo uzwazwa wako wenye akili wanakuhadaa ili waendelee kula na kunywa ambavyo wewe huwezi!.

Halafu kuna bahati na bahati mbaya!, hapa nawewe utatafsiri kwa uelewa wako!.

Niwatakie heri katika siku yenu hii nzuri watanzania wenzangu!.
 
Act wazalendo wameandaliwa kuhadaa TAIFA

MPINA NI CCM
 
Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi!, halafu kuna hadaa na kuhadaiwa!.

Hadaa ni pale wewe mwenyewe unakuwa mchovu wakufatilia mambo kiundani ili ujue ukweli halafu ndo uchague upande!, na kuhadaiwa ni kutokana na huo uzwazwa wako wenye akili wanakuhadaa ili waendelee kula na kunywa ambavyo wewe huwezi!.

Halafu kuna bahati na bahati mbaya!, hapa nawewe utatafsiri kwa uelewa wako!.

Niwatakie heri katika siku yenu hii nzuri watanzania wenzangu!.
WENYE NCHI-WANATOA PESA, TSHIRT, KOFIA KANGA, KONDOM, PEDI, BASKELI KWA WANANCHI ILI WAENDELEE KULA
WANANCHI
-WAPOKEA ZAWADI, ILI WAPIGANE KWENYE KURA ZA MAONI, WAPANGE FOLENI KWENYE KUPIGA KURA ILI WENYE NCHI WALE.

HAPO JUU KUNA WATU, NA KUNA MAITI.
 
Wamiliki wa pharmacy na duka la dawa kuna chimbo jipya kwa bei nafuuu kariakoo nicheki 0672114557
 
Back
Top Bottom