R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Nov 24, 2025 #1 Niko "mashenzini" huku mabonde kuinama, ambako mtandao ni wa kupanda juu ya mti kuupata. Lakini wanajua D9. Tena vizee! Nimeogopa!
Niko "mashenzini" huku mabonde kuinama, ambako mtandao ni wa kupanda juu ya mti kuupata. Lakini wanajua D9. Tena vizee! Nimeogopa!
The Magnifico JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 431 Reaction score 1,594 Nov 24, 2025 #2 Mimi kila ninapopita, narudia tena POPOTE NINAPOPITA habari wanazoongea watu ni D9 tu. Ukipanda boda, daladala, bajaji habari ni D9. Katika vitu CCM walikosea mwaka huu ni kutowasikiliza CHADEMA na kuacha uchaguzi ugeuke kuwa CCM vs MAANDAMANO.
Mimi kila ninapopita, narudia tena POPOTE NINAPOPITA habari wanazoongea watu ni D9 tu. Ukipanda boda, daladala, bajaji habari ni D9. Katika vitu CCM walikosea mwaka huu ni kutowasikiliza CHADEMA na kuacha uchaguzi ugeuke kuwa CCM vs MAANDAMANO.
Black cap JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 1,004 Reaction score 1,353 Nov 24, 2025 #3 Ni kweli , hizi habari nimezikuta KIJIJINI ila tu utayari wao wa kuandamana ndio bado
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,330 Reaction score 4,048 Nov 24, 2025 #4 Sahihi, hata huku kwetu ,Tanganyika watu wanafahamu
tongelao JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 798 Reaction score 2,243 Nov 24, 2025 #5 Kitu ambacho sikutemea nikwamba hata vijiji nlivyotembelea watu wanasema 9D itakuwa balaa zito yaan nizaid ya 29N hapo ndipo nikajua watanganyik wamechoka
Kitu ambacho sikutemea nikwamba hata vijiji nlivyotembelea watu wanasema 9D itakuwa balaa zito yaan nizaid ya 29N hapo ndipo nikajua watanganyik wamechoka
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 Nov 24, 2025 #6 9D Nitakuwa hapo mjini daslamu wanangu
N Niomi kaka Member Joined Feb 28, 2025 Posts 66 Reaction score 131 Nov 24, 2025 #7 nimeshangaa hata ndugu zetu wakina dudukwe wanaujua huu mchongo
Mafunzo ya Udereva JF-Expert Member Joined Aug 27, 2025 Posts 620 Reaction score 925 Nov 24, 2025 #8 Ahaaaa wazee wa chumvi
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 981 Reaction score 1,411 Nov 24, 2025 #9 Niomi kaka said: nimeshangaa hata ndugu zetu wakina dudukwe wanaujua huu mchongo Click to expand... Chabaa anasemaje?
Niomi kaka said: nimeshangaa hata ndugu zetu wakina dudukwe wanaujua huu mchongo Click to expand... Chabaa anasemaje?