Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

KICHEDE22

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
59
Reaction score
13
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7
 
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7

Hahaaaaa kijana acha uongo unapo zungumzia naibu una maanisha jenista muhagama nikuulize kitu unauhakika na maelezo yako?? Usidanganye watu na kuwapa matumaini ya uongo, jeni hujaongea naye na hawezi kukupa taarifa hizo nasema hivi kwa uhakika wa zaidi ya asilimia 100 sababu ninazo acha kuwapa presha watu kwa habari za uongo na hajatoa hiyo taarifa kwako,ni hatari kutunga taarifa kwa mgongo wa naibu waziri.
 
ninauwakika 100% naibu wazir tamisemi kaniambia hvo mana nidanganye ili iweje na npate nn
 
cbahatk ww mi n muhanga wa st.john xaxa co unabsha find data zako na wew z2saidie ------- au nikupe namb ya n/wzr tamise
 
ninauwakika 100% naibu wazir tamisemi kaniambia hvo mana nidanganye ili iweje na npate nn
 
ninauwakika 100% naibu wazir tamisemi kaniambia hvo mana nidanganye ili iweje na npate nn

Wewe ni muongo, walimu wetu mpuuzieni mtu huyu subirini tamko kutoka wizara au mkitaka mtafuteni jane mwenyewe namba ya offisi yake ni 0754-374697 mkimkosa yeye mtaongea na msaidizi wake lakini waweza kuomba msaada kwake wa kuwasiliana naye.
 
cbahatk ww mi n muhanga wa st.john xaxa co unabsha find data zako na wew z2saidie ------- au nikupe namb ya n/wzr tamise

Na sidhani kama unafaa kuwa mwalimu kwa uandish wa kihuni namna hiyo. Xaxa ni kitu gani katika lugha ya kiswahili? Halafu mnataka tuwapeleke mkatuharibie watoto mashuleni.!? Jifunzeni kutumia kiswahili vizuri mambo mengine waachieni ma adolescent wayafanye kwa wasomi kama nyie haifai hii.
 
da unadis wakat huna data tena n muhanga mwenzangu ww c mzma xubiri mchana ntakupa newz nyngne ma namb 0762898373 fnd me
 
cbahatk ww mi n muhanga wa st.john xaxa co unabsha find data zako na wew z2saidie ------- au nikupe namb ya n/wzr tamise

Naibu waziri tamisemi ni agrey mwanri na hana tabia ya kutoa taatifa isivyo rasmi,walimu wetu mpuuzieni mtu huyu ni muongo kama wengine wana shinda kuwadanganya humu kwa lengo la kutafuta taarifa sahihi kwa kutoa taarifa za uongo.
Na kwa anaye taka ukweli amtafute kwa namba zake za ofice
Na 0713-653824 Au 0754693156. Ukimkosa yeye itapokelewa na msaidizi unaweza kuomba msaada wa kuwasiliana naye.
 
da unadis wakat huna data tena n muhanga mwenzangu ww c mzma xubiri mchana ntakupa newz nyngne ma namb 0762898373 fnd me

Pole tatizo lakoi sio la wote mimi si muhanga mwenzio nipo kazini tangu mwaka 1988 kwa sasa nafikiria kustaafu na si kutafuta ajira kwa umri wangu.
 
km upo kazni 2saidie co kudic na mm nimewacliana na mh agrey mwanri axubuh kaniambia nisubiri mchana
 
Mkuu labda nikuulize kitu ivi wewe unacheo gani labda katika taasisi yeyote ya government apa nchini coz unapenda kucrush kila kitu hapa jamvi nimekufuatilia sana post zako humu jf sana sana hili jukwaa la elimu mbona unapenda kudharau information za wenzio wewe kama nani.
 
cbahatk ww mi n muhanga wa st.john xaxa co unabsha find data zako na wew z2saidie ------- au nikupe namb ya n/wzr tamise

walim kama wewe hata kama mkiachwa haina shida maana mnaenda kutufundishia watoto wetu ujinga na kuwapa dv 5. Eti xaxa!
 
Pole tatizo lakoi sio la wote mimi si muhanga mwenzio nipo kazini tangu mwaka 1988 kwa sasa nafikiria kustaafu na si kutafuta ajira kwa umri wangu.

Sasa wewe kama sio muhanga wa hili jambo kwa nini unapenda kuwakatisha tamaa hisitoshe wewe pia ni mwalimu maisha ayaendi ivyo kweli nimeamini alie shiba amkumbuki mwenye njaa kumbe upo inservic kitambo unakuwa mlopokaji namna hii baada yakuwasaidia walimu wenzio kwa janga lililotukuta tena tu kwauzembe wawatu flani flani isnot fear mwalimu
 
hv ww jamaa shoga au mana 2ache 2jadili ye2 cc wahanga na post znatoka ataufanye nn bata wewe bado mshamba sana
 
hv ww jamaa shoga au mana 2ache 2jadili ye2 cc wahanga na post znatoka ataufanye nn bata wewe bado mshamba sana

hakuna tatizo kijana mimi si wa umri wako hata uanze kunitukana kuwa makini kutukana mtu ausiye mjua ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…