Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,114
- 1,308
Poleni sana ndg zangu walimu,
kusema ukweli ajira zenu hazieleweki,
Ninachoshauri endeleeni kuwa wavumilivu...
Walimu wa Diploma na Certificate tayari wamehitimu mafunzo hayo kwa mwaka 2014..hivyo mnazidi kuongezeka mtaani,
Hata kazi kwenye shule za binafsi mtakosa pia msipoangalia...