Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

Poleni sana ndg zangu walimu,
kusema ukweli ajira zenu hazieleweki,
Ninachoshauri endeleeni kuwa wavumilivu...

Walimu wa Diploma na Certificate tayari wamehitimu mafunzo hayo kwa mwaka 2014..hivyo mnazidi kuongezeka mtaani,
Hata kazi kwenye shule za binafsi mtakosa pia msipoangalia...
 
hivi serikali kwa nn isitoe tamko tu kwamba ajira ztatoka na lini ztatoka au hakuna kabisa ili watanzania wenye nia ya kuli2mikia taifa wakajua jambo la kufanya.
 
hivi serikali kwa nn isitoe tamko tu kwamba ajira ztatoka na lini ztatoka au hakuna kabisa ili watanzania wenye nia ya kuli2mikia taifa wakajua jambo la kufanya.

Jamani!watoe mara ngapi?
 
hv ww jamaa shoga au mana 2ache 2jadili ye2 cc wahanga na post znatoka ataufanye nn bata wewe bado mshamba sana

Jamani hivi kweli umehitimu chuo cha ualimu? Kama waalimu wenyewe ndio mmaandika hivi je a
wanafunzi wenu wataaandikaje? halafu jifunze kujibu vizuri humjui unaemtukana maana anaweza akawa ndio msaada wako.......
 
hv ww jamaa shoga au mana 2ache 2jadili ye2 cc wahanga na post znatoka ataufanye nn bata wewe bado mshamba sana

Jamani hivi kweli umehitimu chuo cha ualimu? Kama waalimu wenyewe ndio mmaandika hivi je na
wanafunzi wenu wataaandikaje? halafu jifunze kujibu vizuri humjui unaemtukana maana anaweza akawa ndio msaada wako.......
 
jaman kesho axubuh cheki TBC Sa 1 KASORO JAMBO TZ Tujue hatma za post zetu.
Live
 
jaman kesho axubuh cheki TBC Sa 1 KASORO JAMBO TZ Tujue hatma za post zetu.
Live
Wewe si ndio ulisema unaongea na wakubwa na hao wakubwa wamekwambia majina yenu yatatoka tar 15 may ??? Na ukanitukana matusi mengi tuu,vipi bwana tarehe 15 bado? Naona umekuja tena na hiyo nyingine ya tbc 1. Haya bwana manao mwamini kesho asubuhi amkeni mshuhudie jambo lingine,,ila kijana usijiamini kumtukana mtu usiye jua lolote kuhusu yeye. Waiting njema walimu wetu.
 
jaman kesho axubuh cheki TBC Sa 1 KASORO JAMBO TZ Tujue hatma za post zetu.
Live

Wewe kijana si ndo uliwaambia wenzako kuwa tarehe 15/5 sasa imekuaje tena?

Ulitukana na baadhi ya wachangiaji walipokuambia ukweli!!
Angalia kauli zako,zitakucost..
Tulitaka tuwasaidie angalau mpate pesa za kutumiatumia lakini kwa maneno yenu mchafu hamfai acha mjifunze maisha kwanza!!
 
Hahahahaha!humu kuna vijimambo kweli
 
hata kama ametukana unachotakiwa ni kumripoti kwa mods sio kuleta name calling humu tafadhali invinsible toa huyu jamaa
 
mwalimu bora lazima awe na hekima na busara bila hivyo ni vigumu kutatua matatizo ya wanafunzi na wazazi wao.
 
LOOK Ndo jina langu N na ntakutafuta kwa gharama zozote ama zangu ama zako tambua sa 1;15 ASBH NAO N UONGO LEO UTAJUTA
 
LOOK TOA JINA LANGU KTK POST YAKO,PIA Jaman ctoogopa BINADAMU YOYOTE NITAWAPA TAALIFA NINAZOAMBIWA NA KUZPATA.
 
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7

xana, kulpot n.k.
Jamani "walimu" mtufundishie watoto wetu vizuri!
 
LOOK TOA JINA LANGU KTK POST YAKO,PIA Jaman ctoogopa BINADAMU YOYOTE NITAWAPA TAALIFA NINAZOAMBIWA NA KUZPATA.

nime edit kuondoa lile jina ambalo huyu punguani look aliliweka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…