[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Imagine mimi na mama yako tulikaa na kukesha kwa shauku kwa miezi tisa kukusubiri uzaliwe then Wewe hapa una week tu ndio unaanzisha uzi kama huu.
what a time lost!.
Oo pole,ungepita tu kama π π π
Hakuna kitu mkuu nimepita njia tu
Sijaenda!πnilienda msalimu mama nikarudi
Nashangaa,watu kujifanya utakatifu mwingiii wakati kwenye viti vya ibadani walikuwa wanawaza utelezi tuweekend leo hatuna hela ya viti virefu bora tupoteze muda humu, kama mtu upo serious na haya maisha ignore thread tu ππππ
ππkuoa au kutokuoa...u single mom au kuolewa mbona imekuwa ni maisha tu kama maisha mengine...uliza mkuu...kote kwa motoπWale wa "USIOE, JALI MAISHA YAKO" wameshachukua diary kuongeza point. Idadi ya single mama tutarajie kuongezeka kwa mwaka 2023.