Nilichogundua kwenye kelele zinazoendelea hapa nchini

Nilichogundua kwenye kelele zinazoendelea hapa nchini

Uhuru upo Kwa Asilimia kubwa Mkuu, Facebook mbona kila siku naona watu wakitukana yaani matusi ya nguoni kabisa lakini hakuna hatua yoyote.

Nenda vijiweni, nenda kwenye vyombo vya usafiri.

Niliwahi leta Mada hapa Kueleza Jambo hili.

Sisemi kuna Uhuru 100% lakini walau upo tofauti na Mwanzoni.

Nakubali yapo madhaifu katika SERIKALI hii lakini ni serikali gani isiyokuwa na madhaifu? Hiyo hatuwezi ipata hapa Duniani.

Udhaifu haupaswi kuzidi hilo ndilo la Msingi.
Umejivika upofu
Huo Uhuru upo kwa Wana-CCM tu
Chadema kila Leo kwenye mikutano yao ya ndani wanakamatwa, wiki chache zimepita wanamama wa bawacha walikuwa wanafanya jogging wakakamatwa wakalala selo
Acha hizo
 
Tusipende uwongo, kwani maji yapo au hayapo Dar?
Yani BWANA mkubwa alichoandi andika mie sijamuelewa kabisa, hakuna Cha mchawi mpe mtoto akulelee apa, chanzo Cha matatizo tz nikukosa dira ya kitaifa ya miaka 50 na kuendelea, kukosa uwajibikaji wa taasisi mbalimbali chin ya KATIBA tuliyonayo,

Namanisha leo tz KILA Rais akija anakuja na kile kilicho kichwani mwake na serikali yake , matokeo ni atua moja mbele then nyuma, hakuna mwongozo unaompa KIONGOZI direction Kwamba tunaenda au taifa linanda huku, so atafanya kile ataona kinafaa,

Atajenga viwanja, atanunua ndege, atajenga majengo, atajenga mabwawa,reli, madaraja, n.k ,n.k, sisemi ni mbaya lakini ndo vinakua vipaumbele KWA wakati huo KWA taifa au kwake anavyoona,?

Sasa angalia
Maisha KWA wananchi sio mazuri Hali inazidi kuwa mbaya

1.Vifaa vya ujenzi havikamatiki,
2.Matumizi ya KILA siku ya nyumbani ni balaa tupu, mfano mafuta ya kula, sukari
3. Tozo 120,000/ Makato ni Kama 5300 na point
4.maji imekua changamoto Sana ,sijui wa Arusha WENDA wakawa na unafuu tokana na ule mradi wao
5. Umeme umesema
6. Ila pia mpaka Sasa wananchi hawana utulivu wa mioyo , ni kutokana yanayoendelea nchini, watu kumbakiwa makesi ya ajabu, lakini pia Msisau Vuguvugu la Katiba mpya sio dogo ,ni KUBWA mno ,Vuguvugu limeanza penya kwenye mioyo ya watz KWA kasi ya ajabu Sana.

Lakin pia tusidanganyane mpaka Sasa hatuna utulivu wa kisiasa nchini, na UTULIVU wa kisiasa ndo KILA kitu ndani ya taifa, unampa hata kiongozi wa NCHI kufanya kazi zake KWa utulivu pia ,unampunguzia stress,

Kama Kuna watu bado wanafiki hakuna umuhimu wa Maridhiano ndani ya taifa wanajidanganya Sana ,na hawako sahii,
 
Unapewa zigo uhangaike nalo.

Ni mbinu ya kizamani inayofanya kazi hasa katika nchi zisizostaarabika.

Ukipewa Kesi lazima uachane na mambo mengine upambane na kesi Kwanza. Hivyo automatically utakuwa umewapa ushindi mwororro
Ni njia mojawapo inayoua biashara maana watu wanatakiwa wapotezewe muda mahakamani na gerezani.
 
Back
Top Bottom