Nilichogundua marathon yenyewe pia ni mchezo wa kitajiri

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
 
Kili marathon ndiyo ngoma nagwa...sema sshv wadangaji wauza sura wanaanza kuiaribu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…