Habahaha wee tako linaonekana kabisa tako skonsi....au unamaanisha mazoezi magumuMagumu sana ☹️
Kwahyo mnaipenda ndoa ?Sanaa,haifai
Kabisa....tugeggeduane tuu au unasemaje to yeyekataa ndoa
ndoa ni utapeli
Mwanaume ana options mbili tu katika swala la ndoa, ili aishi kwa amani na furaha.kataa ndoa
ndoa ni utapeli
Ukweli mtupu....yaani unatakiwa uwe na wake double double ndio utafurahia ndoa....mmoja ujue ni kujipelekea kaburini mapemaMwanaume ana options mbili tu katika swala la ndoa, ili aishi kwa amani na furaha.
It's either usioe kabisa au oa mwanamke zaidi ya mmoja. Ukioa mwanamke mmoja chances za wewe kufa haraka ni kubwa, ukiwa na wake wawili au zaidi stress levels zinapungua sana.
Sawa,nimekuelewaKuoana mapema ndio kuoana mkiwa na umri gan? Maana ujinga, ubinafsi na uchoyo ni tabia ya mtu tu na kama atakoswa wa kumsaidia aziache kadri umri unavyo zidi kuongezeka na hizo tabia zinazidi kuadvance.
Ila acha niunge mkono hoja tu
Kuna kaukweli hapaMwanaume ana options mbili tu katika swala la ndoa, ili aishi kwa amani na furaha.
It's either usioe kabisa au oa mwanamke zaidi ya mmoja. Ukioa mwanamke mmoja chances za wewe kufa haraka ni kubwa, ukiwa na wake wawili au zaidi stress levels zinapungua sana.
Wee sema ukweli unataka ndoa bwanaKwa sasa sina jibu
Of course sio yeye tuWee sema ukweli unataka ndoa bwana
🤣🤣🤣🤣Kumbe ndio maana hawanipendi humu ndnai hawa warembo....ninawawekea kauzibe🤣🤣🤣🤣Of course sio yeye tu
Ni wanawake wote ndio ndoto yao kubwa
Kwahyo hivi tunavyosema Wanaume tusioe inawaumiza sana wanatamani watumeze
Ndio ni kila kitu kwa wanawake bwana mzabzab [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio maana hawanipendi humu ndnai hawa warembo....ninawawekea kauzibe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri rafiki yangu Kelsea yeye anasema kabisa anataka ndoa
Basi ngoja kwenye kikao kijacho tutawaomba waleta malalamiko yao tuyafukirieNdio ni kila kitu kwa wanawake bwana mzabzab [emoji1787][emoji1787]