Nilichogundua mwenzenu

Nilichogundua mwenzenu

kataa ndoa
ndoa ni utapeli
Mwanaume ana options mbili tu katika swala la ndoa, ili aishi kwa amani na furaha.

It's either usioe kabisa au oa mwanamke zaidi ya mmoja. Ukioa mwanamke mmoja chances za wewe kufa haraka ni kubwa, ukiwa na wake wawili au zaidi stress levels zinapungua sana.
 
Kuoana mapema ndio kuoana mkiwa na umri gan? Maana ujinga, ubinafsi na uchoyo ni tabia ya mtu tu na kama atakoswa wa kumsaidia aziache kadri umri unavyo zidi kuongezeka na hizo tabia zinazidi kuadvance.

Ila acha niunge mkono hoja tu
 
Ukweli mtupu....yaani unatakiwa uwe na wake double double ndio utafurahia ndoa....mmoja ujue ni kujipelekea kaburini mapema
 
Kuoana mapema ndio kuoana mkiwa na umri gan? Maana ujinga, ubinafsi na uchoyo ni tabia ya mtu tu na kama atakoswa wa kumsaidia aziache kadri umri unavyo zidi kuongezeka na hizo tabia zinazidi kuadvance.

Ila acha niunge mkono hoja tu
Sawa,nimekuelewa
 
Mwanaume ana options mbili tu katika swala la ndoa, ili aishi kwa amani na furaha.

It's either usioe kabisa au oa mwanamke zaidi ya mmoja. Ukioa mwanamke mmoja chances za wewe kufa haraka ni kubwa, ukiwa na wake wawili au zaidi stress levels zinapungua sana.
Kuna kaukweli hapa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio maana hawanipendi humu ndnai hawa warembo....ninawawekea kauzibe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uzuri rafiki yangu Kelsea yeye anasema kabisa anataka ndoa
Ndio ni kila kitu kwa wanawake bwana mzabzab [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom