Nilichogundua mwenzenu

Yaan ukishakubali kuolewa au kuoa ujana weka pembeni Kaa kifamilia na kimajukumu.Alichemka...ndoa na misele wapi na wapi
Hamna bwana ndoa na misele inawezekana sana cha msingi misele iwe wote mnapenda. Sasa wewe unaoenda mpira alafu unaenda kuolewa na mtu ambaye hapendi mpira so nyie kinachowaunganisha hapo ni nini. Kuwa na mtu ambaye mna similar interests, ndicho kitawafanya mdumu ukiondoa kugegeduana
 
Duniani wawili wawili mkishindwana bas

🤣🤣🤣🤣Uko very addicted na tako
Hahaha tako kitu chingine mrembo...yaani ukilipapasa tuu full burudani. Sii unaona ata warembo wenyewe wanajua kuwa tako ndio kivutio cha wanaume
 
Misele na mwanamke huo ni utandawaz.Kiuhalisia mwanamke akiolewa atulize komwe home,yamtoe mahitaji ya nyumbani na siyo kwenda club aisee
 
Misele na mwanamke huo ni utandawaz.Kiuhalisia mwanamke akiolewa atulize komwe home,yamtoe mahitaji ya nyumbani na siyo kwenda club aisee
Ah atulize komwe nyumbani 🤣🤣🤣🤣 una maneno wewe. Sasa kwani kwenda club na mumeo kusaka rhumba kuna tatizo gani?
Dancing is a vertical expression of the horizontal desire😜
 
Hahaha tako kitu chingine mrembo...yaani ukilipapasa tuu full burudani. Sii unaona ata warembo wenyewe wanajua kuwa tako ndio kivutio cha wanaume
Mnawaharibu wanaenda surgery
 
Wanawahitaji nyie hamwahitaji walivyo
Kila mwanamke anahitaji mwanaume mbona wengine hawaendi kufanya makuzo ya matakle yao. Hao akili zao ni finyu tuu.
Wapo wanaume ambao hawapendi matako makubwa. Wao wanapenda viportable.
 
Kila mwanamke anahitaji mwanaume mbona wengine hawaendi kufanya makuzo ya matakle yao. Hao akili zao ni finyu tuu.
Wapo wanaume ambao hawapendi matako makubwa. Wao wanapenda viportable.
Wasiopenda matako makubwa hawapendwi na wanawake flat....😆mapenz bhana🙄🤔
 
Ah atulize komwe nyumbani 🤣🤣🤣🤣 una maneno wewe. Sasa kwani kwenda club na mumeo kusaka rhumba kuna tatizo gani?
Dancing is a vertical expression of the horizontal desire😜
Pamoja Haina shida siyo kivyako kama swalha
 
Namaanisha always mapenz ni vise versa...unaempenda hakupendi
Sasa kama tumeshaligundua hilo kwa nini tuna ng'ang'ana na mambo ya ndoa....sii tupeanage utamu tuu kila mtu aendelee na kusaka pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…