Nilichogundua mwenzenu

Mimi huwa sijui kuachana na mwanamke,huwa tunapotezana tu kutokana na umbali,hata demu wangu wa 2003 bado tunawasiliana

Sasa wakati naoa mwanamke wangu akaanza kunipa mashariti eti niwaambie hao watu wangu wa zamani na marafiki wa kike kuwa nimeoa kila wanaponipigia sm,hik kitu sikuweza maana najua nikiwaambiwa hawatajisikia poa na wakat mwingine mtu anakupigia sm kufurahisha akili yake huenda kachanganywa huko alikokuwa.

Inshu nyingine iliyokuwa inanichosha mpaka sasa inanichosha ni kulazimishwa kuoga kila siku,nipo mkoa ambao hali yake ya hewa ni ya kawaida hakuna joto,sasa siku nazoshinda nyumban na ukute sijafanya kazi ya kunitoa jasho huwa sipendi kuoga kabisa.
 
Ndoa ni changamoto
 
Jifunze kuacha
 
Majukumu yangu ni kuipelekea moto mbususu, kumjaza mimba mwanamke , kulipa ada, kujenga nyumba na kulinda familia kwa ujumla wake.

Wewe jukumu lako kama mke ni lipi
Kulea watoto mume na ada
 
Hata bila kufanya kazi mwili una kawaida ya kutengeneza uchafu kila baada ya muda fulani. Jitahidi kuoga aisee.
 
Shida yako wewe huamini katika ndoa
Hapana sio hivyo mrembo mie mbona nasaka ndoa kinoma tatizo kupata wanawake wanaotaka kuwa wake na sio wale wanaotaka kuolewa kama ni fashion vizle. Baada ya siku mbili tatu mnaanza mauzi ndani ya nyumba
 
Aah wapi, labda kama comments zako humu zisiwe za ukweli vinginevyo wewe ndoa haikufai.
Hapana sio hivyo mrembo mie mbona nasaka ndoa kinoma tatizo kupata wanawake wanaotaka kuwa wake na sio wale wanaotaka kuolewa kama ni fashion vizle. Baada ya siku mbili tatu mnaanza mauzi ndani ya nyumba
 
Aah wapi, labda kama comments zako zisiwe za ukweli vinginevyo wewe ndoa haikufai.
Ah wee mrembo achana na comment za jf....njoo nikuwowe upate watoto wako wawili uwe wanipakata na mie huko nanyonya titi🤣🤣🤣
 

[mention]to yeye [/mention] NAKUPENDA BABE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…