0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Mimi huwa sijui kuachana na mwanamke,huwa tunapotezana tu kutokana na umbali,hata demu wangu wa 2003 bado tunawasiliana
Sasa wakati naoa mwanamke wangu akaanza kunipa mashariti eti niwaambie hao watu wangu wa zamani na marafiki wa kike kuwa nimeoa kila wanaponipigia sm,hik kitu sikuweza maana najua nikiwaambiwa hawatajisikia poa na wakat mwingine mtu anakupigia sm kufurahisha akili yake huenda kachanganywa huko alikokuwa.
Inshu nyingine iliyokuwa inanichosha mpaka sasa inanichosha ni kulazimishwa kuoga kila siku,nipo mkoa ambao hali yake ya hewa ni ya kawaida hakuna joto,sasa siku nazoshinda nyumban na ukute sijafanya kazi ya kunitoa jasho huwa sipendi kuoga kabisa.