Nilichogundua mwenzenu

Mimi rumu navitanda viwili..mke wangu ana lala chake na mimi changu..mambo ya kubanana sitaki kabisa.[emoji28]tunatembelea kipindi cha mahitaji maalumu ya kimwili tu baada ya hapo kila mtu akalala kwenye kitanda chake.

Uwii navyopenda kukumbatiwa mie
 

Wewe oga bana acha uvivu
 
Mwanamke ndo anatakiwa aolewe mapema 18-25 akichelewa hapo muda unamuacha
Mwanaume anatakiwa aoe akiwa na miaka 30 hii miaka 20-30 ni miaka Ya kujijenga,kibusara(kuwa na maamuzi sahihi),kiuchumi uweze kuhudumia hiyo familia maana mwanaume huna msaada wowote hata mtu akikuuliza uko poa? Unatakiwa umjibu tu ndio Niko sawa maana maana hata ukijibu hauko poa hakuna atakae jali shida zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…