Nilichogundua mwenzenu

Nilichogundua mwenzenu

Sasa kama tumeshaligundua hilo kwa nini tuna ng'ang'ana na mambo ya ndoa....sii tupeanage utamu tuu kila mtu aendelee na kusaka pesa
Ni rahisi kusema Ivo coz ushaoa
 
Pamoja Haina shida siyo kivyako kama swalha
Sawa hiyo ni kweli. Ila pia inapaswa uumpe mkeo/ mume uhuru wake. Sio kila jambo mtafanya pamoja.
Mke anataka kwenda outing na gelofrends wake mwacha aende...there is more to life ata kama umeshaolewa.
 
Ni rahisi kusema Ivo coz ushaoa
Kwani wewe ukipata mwanamke ambaye u like na mnapeanaga utamu utakaka mbegu yake akakuoa ukatotoa mtoto wako mzuri kuna ulazima gani wakuwa unaishi na huyo mwanaume? Yaani unammiss nini ambacho kwenye ndoa unapata?
 
Sawa hiyo ni kweli. Ila pia inapaswa uumpe mkeo/ mume uhuru wake. Sio kila jambo mtafanya pamoja.
Mke anataka kwenda outing na gelofrends wake mwacha aende...there is more to life ata kama umeshaolewa.
Bas huyo anakuwa Hana familia,sometimes uzungu tuweke Kwa kando tulee watoto...ndo maana housemaid now wananyonga tu.Umetoka job Kaa kidogo na wanao..
Weekend shinda nao waenjoy kidogo sura ya mama jaman
 
Kwani wewe ukipata mwanamke ambaye u like na mnapeanaga utamu utakaka mbegu yake akakuoa ukatotoa mtoto wako mzuri kuna ulazima gani wakuwa unaishi na huyo mwanaume? Yaani unammiss nini ambacho kwenye ndoa unapata?
Uwepo wake
 
Bas huyo anakuwa Hana familia,sometimes uzungu tuweke Kwa kando tulee watoto...ndo maana housemaid now wananyonga tu.Umetoka job Kaa kidogo na wanao..
Weekend shinda nao waenjoy kidogo sura ya mama jaman
Ni kweli wanawke wengi kwa sasa hawafai kuwa wake maana ndio hivyo starehe nyingi kila kitu kamuachia maid.
 
Ndoa ni urafiki...uwepo wa rafiki yako
Kwani mie na wewe hatuwezi kuwa marafiki lakini tunagegeduana siku moja moja tunalala pamoja though kila mtu na nyumba yake.
Pia unakuwa huru siku mmemtamani coworker wako unaenda unagonga nae mgeggedo maisha yanaenda.
 
Hapa siwez pata kitu..

Haya sawa
 
Nimesoma maelezo ya mtoa post,Ila kiukweli ikifikia mtu unatamani mwenzio asafir au achelewe kurudi nyumbani au apitilize alale huko huko hiyo ni dalili kuwa hapo hakuna mapenzi.
Kuna mambo mawili, moja huenda mahusiano yenu sio mazuri Kwa maana upendo hakuna tena,pili umeoa au kuolewa na mtu ambaye sio sahihi yaani hujampenda Kwa dhati,hapo tuwe wakweli ebu chunguza ndoa yako ni ya namna gani mpaka ujihisi hivyo,ukiwa mkweli na nafsi yako ukweli utaupata.

Kuna mchangia mada mmoja amesema yeye hapendi kubanana ktk kulala,ana vitanda viwili,yeye huku na mke Kule Hilo nalo ni kosa lingine,hakuna viumbe wanaopendwa kukumbatiwa kama wanawake,na pili inaongeza Sana mapenzi na inawafanya muwe karibu kisia,unajua mapenzi ni zaidi ya sex,kuna vitu vidogo vidogo vinqongeza MAHABA,je ni mara ngapi unamwambia mmeo au mkeo kuwa unampenda.

Kiukweli watu wengi wapo katika ndoa lkn wapo lonely/wapweke kwakuwa hawapo karibu karibu kihisia na wanaishi kimazoea Tu.
 
Kwani mie na wewe hatuwezi kuwa marafiki lakini tunagegeduana siku moja moja tunalala pamoja though kila mtu na nyumba yake.
Pia unakuwa huru siku mmemtamani coworker wako unaenda unagonga nae mgeggedo maisha yanaenda.
[emoji848]
 
Kwani wewe ukioa majukumu yako ni yapi?
Majukumu yangu ni kuipelekea moto mbususu, kumjaza mimba mwanamke , kulipa ada, kujenga nyumba na kulinda familia kwa ujumla wake.

Wewe jukumu lako kama mke ni lipi
 
Back
Top Bottom