Nilichogundua mwenzenu

Nilichogundua mwenzenu

Vilio na misiba vimetawala ndoani
Na bado watalia sana,, si hawasikii hehehe

Kawaida ya Mazingira,, yakikufundisha na usipoelewa,,, huwa yanarudia tena,,, usipoelewa pia yanarudia tena.... Yatakuacha Salama pale tu utakapoelewa na kubadilika....

Kuna Wadada wengine NDOA kwao ni ile Sherehe tu...,show off.
 
Ndo ukweli
 
Mimi rumu navitanda viwili..mke wangu ana lala chake na mimi changu..mambo ya kubanana sitaki kabisa.[emoji28]tunatembelea kipindi cha mahitaji maalumu ya kimwili tu baada ya hapo kila mtu akalala kwenye kitanda chake.
Nimeipenda hii [emoji23]
 
Back
Top Bottom