We mzitoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yameshakuwa mengi
Muwe mnaeka na bei elekezi kwenye juzi zenu
Namuonea huruma sana atakayekuja kukuoa maana atakachokuja kukutana nacho hataamini
Unasafiri 900km na Zaidi kwenda kugawa tunda
Ngoja nikae kimya iitakua mi ndo mshamba
SawaMimi nipo salama usiwe na hofu. [emoji3]
Mimi bonge wangu anatosha![emoji1][emoji1][emoji1]Kama naona midume inayokandia hapa ila inakimbizana pm kwa mleta mada...[emoji1787][emoji1787]
Ooh thank you for your comment!Kaka ukimwi haupo mitandaoni tu,hapo unapokaa kuna ukimwi pia,wanaume unaowaona mitandaoni ni hao hao unaokutana nao hapo mtaani kwako au barabarani au safarini
Na love doesnt consider distance,mtu anaweza akawa Tanzania akawa na mpenzi Japan
Na huu sio kwamba nilikuwa field nafanya utafiti,ni hali tu ilitokea ningekuwa field ningebainisha kati ya wangapi walitumia kondom na wangap hawakutumia
Mkuu usipotezee ile ma iliyotajwa!
Nimeelewa Aikambee
Nitakusemea kwa wifi..shauri yako..Mimi bonge wangu anatosha![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji125][emoji125][emoji125]Nitakusemea kwa wifi..shauri yako..
[emoji3][emoji3]
Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?Baba alikubatiza jina zuri sana, eti mtu anaitwa Paula Paul!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119]umenikomesha ila wazee wa pm watakukomesha zaidi!Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?
Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
Napenda na condom