Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Silinganishi ila hayo majina
Me nimekuelewa sana ulichokimaanisha,achana na hao wanaokukebehi but trust me hao wanaoponda ndio wanaongoza kwa kufanya hizi mambo.Hongera kwa kua muwazi next time kuwa makini usituamini sana sisi wanaume.
 
Maneno haya hayakustahili kutoka kwa kaka angu jamani..
Ninawavutia vijana nipate shemeji wa ukweli mdogo ake. Halafu msema kweli ni mpenzi wa Mungu [emoji23][emoji23]
 
Ilà yna2 ni mrembo haswaaa! Yaani mtoto huyu dah!!
MREMBO haswaaaaa nimesha m verify muda sana tatizo linalonishnda ni 1 tu

kumpata wala sio tatizo, ila sasa yna2 nikiwa nae nahisi couple itakua kama dogo janja vs Uwoya

unajua ile Body matching ina matter sana kwangu kabla ya kuanzisha mahusiano,sema yna2

ipo siku ntakunywea pombeeeeeeeee halafu nakuja sasa,we kausha hapo hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbuka nilichangia kabla sijasoma uzi, ngoja nikabadili maneno yangu kule juu, sikujua kumbe walengwa ni wa jf tu?
Tayari nilikuwa nimesha jiandaa kukuja PM ili nawewe ufunge safari from Bukoba yako to Dodoma...teh[emoji23]
 
Siyo kazi yangu ili mpenz aridhike kuwa na mimi
Chai hii....halad ww na yule mwenzako lazima mtakua mtu mmoja.Maana nyote mlipotea hapa kat halaf kwa pamoja mmerud na kupanfisha nyuzi ambapo ndani ya contant kila nyuz ina mrefer mwenzake.
Ww umem refer maghala na yy kapindisha nyuz anakuzungumzia ww.
Is it a coisedence????
 
Ninawavutia vijana nipate shemeji wa ukweli mdogo ake. Halafu msema kweli ni mpenzi wa Mungu [emoji23][emoji23]
Kaka ake..mashemeji tena!??

Umesahau wewe ndiye uliyetoa idhini siku ile ya mahali..umtakii mema mdogo wako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasikia unafahamiana na mleta mada..
usintafute ebu 😂

Mtu anatoka Bukoba to Dar huyu mtu sitaki hata fahamiana nae

maana akisikia unachepuka Upo UK ni atakupandia flight aje akufumanie tu.

Huyu ni risk taker na wanawake wa hivi hashindwi kukugeuza hata ndondocha lake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka Sana..

Dogo vs uwoya...!!!

Chizi weh
 
usintafute ebu [emoji23]

Mtu anatoka Bukoba to Dar huyu mtu sitaki hata fahamiana nae

maana akisikia unachepuka Upo UK ni atakupandia flight aje akufumanie tu.

Huyu ni risk taker na wanawake wa hivi hashindwi kukugeuza hata ndondocha lake.
Risk taker ndiyo wazuri hao..huchepuki ovyo.

Abiria chunga mzigo wako oohhh
 
Kaka ake..mashemeji tena!??

Umesahau wewe ndiye uliyetoa idhini siku ile ya mahali..umtakii mema mdogo wako
[emoji2307][emoji2307][emoji2307]nisamehe mdogo ake!!
 
Kama naona midume inayokandia hapa ila inakimbizana pm kwa mleta mada...[emoji1787][emoji1787]
Tatizo hataki kujibu PM mleta mada, labda kuna foleni ndefu sana huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…