Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Kwanza pole sana si kwa ulichoandika bali matendo yako!

Umeongea ukweli kwamba wanaume tulio wengi hatutumii kondom lakini kulingana na evidence zako nimegundua pia wewe ndo uko kwenye hatari zaidi ya kupata Ukimwi,

Kwanza unaaminije wanaume wa mitandaoni?

Pili unatoka bukoba hadi dar koz ya mwanaume unayejua kabisa hatumii kondom tena si mara moja?huu ni nini?

Tatu unafanyaje utafiti kama huu kwa ku risk maisha yako?

Umenishangaza kabisa kuona kwamba wewe ni miongoni mwa wanaofanya biashara mitandaoni japo hawajitangazi na nyie ndo mnafanya wanaume wasitumie kondom, ndio maana ndoa za siku izi miyeyusho!

Kondom haizuii Ukimwi na tukijua ku sex ni ngumu san kupata Ukimwi tatizo tunabakana,mfano mtu umekutana nae mtandaoni unatumiwa picha zilizojaa edition kibao then you sex unategemea nini?
 
Duh! Asante

Dada, sisi tunasoma katikati ya mistari.
Wewe unatoka Bukoba mpaka Dom kumfuata mwanaume, unatoka Bukoba mpaka Dar mara mbili kufuata wanaume. Ina maana unajisafirisha kwa gharama zako? Jibu ni hapana. Hawa wanaume wanakulipa na kukusafirisha kuwafata. Unasema uko tayari kukaa hata wiki au zaidi na mwanaume ili aridhike, hii inamaanisha huna kazi nyingine ya kufanya. Na hapa umetutajia wanaume wa JF pekee, je huko unakoishi unao wangapi? Na hao waliokubali kutumia condom (ambao hujawataja hapa) ni wangapi? Halafu unajidai wewe sio sex worker?
Mimi nadhani hao wanaume unaokua nao ndio ilibidi waogope sana na wawe makini kuliko unavyoogopa wewe.
 
Lucas philipo, Kaka ukimwi haupo mitandaoni tu,hapo unapokaa kuna ukimwi pia,wanaume unaowaona mitandaoni ni hao hao unaokutana nao hapo mtaani kwako au barabarani au safarini

Na love doesnt consider distance,mtu anaweza akawa Tanzania akawa na mpenzi Japan

Na huu sio kwamba nilikuwa field nafanya utafiti,ni hali tu ilitokea ningekuwa field ningebainisha kati ya wangapi walitumia kondom na wangap hawakutumia
 
[QUOTE="TheChoji,Wakati unataka kujua mi nina wangapi,jiulize na wew una wangapi ambao huna ujasiri wa kuwaweka hadharani,na ambao una ujasiri wa kuwaweka hadharani,sometimes hivi vitu kwa dunia ya sasa tunapaswa kuwa wazi
 
Kuna wakati niliona sredi zinatembea hapa, nikadhani wamekusingizia tu...

Sasa naona confession yako hapa nimebaki kushika tama...

Anyway, punguza kidogo kujiexpose sio watu wote wanakuwa na nia njema
Hahahaha,pole ila ni mambo ya kawaida,bora Mimi ni kwenye maandishi,vipi wale wa video si ndo balaa
 
Back
Top Bottom