muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 224
Unataka Ban kilo ngapi nipeleke oda yako fasta.!?Wanipige basi ban na mimi jamani, hawako fair wanaupendeleo kwa nini na mimi nisipewe?
Hadi 2019 ntashukuru maana naona moderator hawako fair mbona mi sijawahi pata wanapewa wenzangu tuUnataka Ban kilo ngapi nipeleke oda yako fasta.!?
Kumbe ana tabia hiyo lol hope kajifunza sasa maana anakiri hilomhh huyu mtoaada ni kwikwi nae aliwah mtukana matusi kaka mmoja anatafuta mdada wa kazi ndo nilipomchoka mie thts y nimemuita hance hahahah ndo akapigwa ban !na kuna mkaka mmoja alimuanzishia thread ya kumtukana kbs anaitwa ushimen mhhh
Kulingana na maelezo yako unaonekana haujatimiza vigezo na masharti ya kupewa Ban.Hadi 2019 ntashukuru maana naona moderator hawako fair mbona mi sijawahi pata wanapewa wenzangu tu
Nami nimetoka kifungoni kama masaa 4 hivi, mi nimezoea, napigwa sana BAN, ingawa inauma! tatizo na wengine wanapost hivyo vitu ila wanapeta! Hamna consistency!Habari..
Nilichojifunza baada ya BAN...
1..INAUMIZA
2..PINDI UKIPINGWA BAN AKILI YA KUANDIKA THREAD MPYABINAKUJA...
3..UNA KASIRIKA UKIONA MTU ANA POST PUMBA NA ANAPETA...
4..PM ZINAPOTEA KABISA...
5..AISEE NIMEKUJA KWA HALI MPYA COMMENT UJINGA NTAKUJIBU HIVYO
Usiniitie huyo mtu...aliyesababisha BAN..
Ila usimpe point bado namuona mjinga tuUsiniitie huyo mtu...aliyesababisha BAN..
Wanakuzingua, njoo pm tuone tunafanyaje.Wanipige basi ban na mimi jamani, hawako fair wanaupendeleo kwa nini na mimi nisipewe?