Nilichojifunza BAADA YA KUPIGWA BAN..

Nilichojifunza BAADA YA KUPIGWA BAN..

Sifa na vigezo vya kupigwa ban ni vipi eti ? Na je kale katangazo kanakuwepo vigezo na masharti ya ban vimezingatiwa
 
Nlipigwa ban ya miezi sita asikwambie mtu,nlikuwa nikiona upupu wa Zero brain za Lumumba nashikwa na hasira mpaka najikuta nawatukana mods kimoyo moyo.
 
Back
Top Bottom