Nilichojifunza BAADA YA KUPIGWA BAN..

Naona JF kuna kaugonjwa wa Ban za upendeleo nshawahi kula ban 2 Humu ndani ya wk 2 pamoja na ustaarabu wangu... hapa saivi na comments mada za watu nikipandisha yangu wanafuta fastaa [emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…