Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo.
Shabiki wa Kiba hawajielewi.
Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa anatoa tamko rasmi kama sio kutumia ile attention iliyotengenezwa na Diamond kumualika kwenye Wasafi Festival?
Hii ngoma ya Dodo yenyewe amshukuru sana Mobeto ukweli ni kwamba ni ngoma ya kawaida. Kama asingemtumia Mobeto aliyepata umaarufu kupitia Diamond sijui ingekuwa wapi. Kwa hakika hata Zuchu angekuwa kashampita.
Pamoja na sapoti kubwa ya media zote kubwa Bongo ila madogo wamemshinda, duh!
Muachage utumwa wa kifikra nyie tim Kiba. Bosi wenu yameshamshinda huko mkubali tu. Naona hadi Diva kahamishia nguvu zote kwa konde siku hizi. Ameshasoma alama za nyakati.