Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.

Mjasiri na Mali

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
5,366
Reaction score
14,167
Hakika yangu wote buheri wa afya

Nianze kwa kusema inzi akiicha ujinga anaweza kutengenzea asali tamu kuliko nyuki.jf kwangu ni freezone pamoja na kujifunza kwa wengine sijui wanaichukuliaje

Kuna wakati napata hamasa kuzidi kufahamiana na watu nikimaanisha iwe ni zaidi ya kuchati tena hata ikiwezekana nipate kakichwa kamoja cha kutamba nacho huku jukwaani ila inashindikana[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sitapenda kurudia kwa yalitokea katika nyuzi pendwa ya nyani yuleeee na mama naniiii ingawaje ndio kiini cha habari chatoka hapo.

Kwa sasa nimeelewa ukitaka kufahamiana na watu iwe ni zaidi ya jf ili usiaibike hakikisha haya yafuatayo...

Mwanaume hakikisha huna kibamia ,makalio makubwaaa,kwenu maisha safi pamoja na wewe mwenyewe uko bomba bila ya hivyo jombaa utalia kilio cha clients wa TMT ya Ontario.

Sura nzuri,shepu ya maana tena usiwe mfupi na pia ujiweze kimaisha sio kuunga unga kila siku milio ya Siemens.. Hii ni upande wa kina Dada

Kama utabahatika kuwa na hivyo walau hutaaibika siku mkipishana.. mahusiano yakiwa vizuri na huna sifa twaja subiri mambo yaende kombo ndio utaelewa kwanini tanesco wanakuwa na genereta la dharura..

Rai yangu tuifanye jf salama kwa kila aina ya mahusiano yetu..yaliyo nje ya hapa yaishie huko huko nje .jamani kujuana sana ndio kuharibia CV kama huna mchongo wa maana na raia bora ukaushe

Maneno yangu sio sheria
 
Duh leo siti ya mbele kabisa
Nije kwenye mada sasa upo sahihi kabisa mkuu chezea siti ya mbele
 
Mkuu si kweli ulichoongea sema tu baadhi ya watu utakaokutana nao wapo na akili za vipii

Mm binafsi sijutii watu ambao najuana nao nje ya jf tunaheshimiana mnooo kikubwa kinachotakiwa ni umakini sana wa kujuana na watu nje ya jf
 
Tatizo hatujaelewa kuwa watu tunaoishi nao mtaaani ndo hao hao wapo Jf tatizo tunajenga taswiraa tofauti tunawazaa vitu dhahania mtu anavyoandika comment kama kijana wa 24 kumbe muhenga wa 59 hivyo usibabaishwe na I'D.


Piah usimuamini kabisa mtu anayejificha nyuma ya keyboard.

Kama ulifanya kosa kufahamiana na watu wachache pangusaaa vumbi la takooo songa mbele anza maisha mapya kaa nao mbali.
 
Ina maana wewe hukuona kipindi kile cha watu kuumbuana humu hadi picha za nyan zikawekwa humu na mwishowe ikabidi afungue kabisa ID yenye jina lake halisi na picha yake, sitaki BAN kwa heri mkuu mwingine aendeleze
Duh! Sikuyafahamu hayo mkuu shukrani kwa kunifungua macho
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…