Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahahaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Weweweeeeee nitarud nakwambiaa unaniuza kwa jero?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Weweweeeeee nitarud nakwambiaa unaniuza kwa jero?
Mambo ya kitoto ndo yapi?? Basi wewe na Ngabu hamtofautiani kwenye jino kwa jino. Kupenda league ni utoto pia.Tehee teheee nilijua ungetafuta namna fulan ivi ya kuipamba ,ila amin nakuambia Nyani anamambo ya kitoto kuliko hata mimi tena bora mimi ndo kwanza miaka 18 .
JF nmekutana na Waschana wengi mno en tunaishi maisha safiii kabisaaa ya kuheshimiana kabisa .
Ila kwakweli , Mimi mtu asitegemee kunifanyia ujinga nikamwacha nooo , Ataniumiza lkn akumbuke ninaabudu kisasi, na napolipiza yeye ataumia saaaana.
Sawa mama nitakuitaNiko hapa mama. Ukija mjini niite nami nitaitikia.
kwanza huwa najiuliza unakutana na mtu anaetumia fake ID ili iwe nini ndio maana wanakutwa kwenye viroba kutana na watu kwa sababu mfano mimi huwa na kutana na wana jf wengi tu wale wanaouza vitu wakaweka mawasiliano yao nawatafut kupiti no zao sifati mtu pm nakumbuka nimetumia pm mara 2 tu na ni kwasababuHao watu ni balaaa ingawaje sio wote
Punguza hasira kaka chuki humchoma anayehafadhiTehee teheee nilijua ungetafuta namna fulan ivi ya kuipamba ,ila amin nakuambia Nyani anamambo ya kitoto kuliko hata mimi tena bora mimi ndo kwanza miaka 18 .
JF nmekutana na Waschana wengi mno en tunaishi maisha safiii kabisaaa ya kuheshimiana kabisa .
Ila kwakweli , Mimi mtu asitegemee kunifanyia ujinga nikamwacha nooo , Ataniumiza lkn akumbuke ninaabudu kisasi, na napolipiza yeye ataumia saaaana.
Kwani Putin uko na miaka 18Tehee teheee nilijua ungetafuta namna fulan ivi ya kuipamba ,ila amin nakuambia Nyani anamambo ya kitoto kuliko hata mimi tena bora mimi ndo kwanza miaka 18 .
JF nmekutana na Waschana wengi mno en tunaishi maisha safiii kabisaaa ya kuheshimiana kabisa .
Ila kwakweli , Mimi mtu asitegemee kunifanyia ujinga nikamwacha nooo , Ataniumiza lkn akumbuke ninaabudu kisasi, na napolipiza yeye ataumia saaaana.
Mhhhh naona umenitolea nje ya kumi na nane kwa kila ninalosemaHakuna
Huo nitakupamba mpaka wachumba wajae pm[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Bhasi Mimi na wewe ni wakubwa hatupendi ligi za vitotoMambo ya kitoto ndo yapi?? Basi wewe na Ngabu hamtofautiani kwenye jino kwa jino. Kupenda league ni utoto pia.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Maandiko yanasema hivyo. Mimi nina moyo mweupe sana. Sikai na hasira. Ukinikwaza nakupa hapo hapo namove on. Sibebi chuki kuukosesha moyo amani bure. Tena watu za humu ndo kabsaaaaaaaaaPunguza hasira kaka chuki humchoma anayehafadhi
Kwiikwiii iiiiikwanza huwa najiuliza unakutana na mtu anaetumia fake ID ili iwe nini ndio maana wanakutwa kwenye viroba kutana na watu kwa sababu mfano mimi huwa na kutana na wana jf wengi tu wale wanaouza vitu wakaweka mawasiliano yao nawatafut kupiti no zao sifati mtu pm nakumbuka nimetumia pm mara 2 tu na ni kwasababu
League ya kazi gani sasa.Bhasi Mimi na wewe ni wakubwa hatupendi ligi za vitoto