Sitak mambo makubwa ila wataumia wengi sanaMuumbue usifiche maovu ..huyo anawapa watu tabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama umri wako ni 45+ karibu pm tujenge ushkaji.
Ooooy Jamaica si ndio nchi wanayo tumia kitu kinaongeza feeling?Kitu Jamaicaa
Hivi shunie ile kiki yeti vipiNa tunaanzaje kuchambana mama angu nyie wadada 3 mnanitosha mm sihitaji kujuana na mdada yeyote nje ya jf
Hata mimi nimemtafuta sana sijui kapatwa na nini manake nimejaribu kumpigia naona hapokei, nitamcheck baadae tena.Umbea mwingine mtamu kama unaujua niambie tu. Hlf nimemtafuta sana mbiti simpati kwa simu!
Ipi hiyo?Ohoooooooo au ni ile ID yangu nyingine
Kutokea kunipenda bila sababu ya msingiKukutunuku nini?
EeeeehKwani we ni mhenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kubahatisha tu mkuu. Kuna watu wana comments tamu lakini wapuuzi kama nini
Mhhh kuchunguzana tenaHa haaa kuna wakati nikaanza kuwachunguza tabia na miandiko nikajua ni watu tofauti.
Miandiko sio tabia wengi tupo nyuma ya keyboard tunajuaHa haaa kuna wakati nikaanza kuwachunguza tabia na miandiko nikajua ni watu tofauti.
Poleeee san wifiii usiangalie comment hapo ndo tunapokoseaaaNaomba ubuyu nani Huyo. Maana na mie ni watu ninaopendaga watu kutokana na wanachoandika.
Kwa mtini jifunzeni
Sawa kabisa. Unaijua geography vizuri!Ooooy Jamaica si ndio nchi wanayo tumia kitu kinaongeza feeling?
Unaningusha bana anza kumzoea kwenye kumqoute[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shunie bwana..
Pouwa best..Hata mimi nimemtafuta sana sijui kapatwa na nini manake nimejaribu kumpigia naona hapokei, nitamcheck baadae tena.
Ulifanya jambo la maana sanaHa haaa kuna wakati nikaanza kuwachunguza tabia na miandiko nikajua ni watu tofauti.
Bora wewe watatuu...
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji106] [emoji106]
Kweli kabisa hasa yule id yake inayoooanzia na herufi kama mojaa asipobadilika na id yakee ileee nyingine ya michezo pendwa atawatesa san wanawake wa JfNi kubahatisha tu mkuu. Kuna watu wana comments tamu lakini wapuuzi kama nini