Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
- Thread starter
-
- #221
Hahaaa haaa...Nipo mkuu lipi tena limekukuta???
Hopefully you are not one of them![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee
Mdogo wangu unataka na mie niumie kweli?!Sitak mambo makubwa ila wataumia wengi sana
Namuweka kiporoMlipue tu..kwan sh ngap?
Kiki gani tena jamaniHivi shunie ile kiki yeti vipi
Wanawake wa dar banah sio kwa maringo hayo, kwahiyo sisi wa mkoani tukija dar tusihangaike kuwatafuta [emoji57][emoji57][emoji57],ipo siku tuu mtaona umuhimu wetuNa tunaanzaje kuchambana mama angu nyie wadada 3 mnanitosha mm sihitaji kujuana na mdada yeyote nje ya jf
Yeah for sure ShemejiNaweka sawa shemeji yangu kikubwa ni umakini tu ndio unaohitajika sio kila mtu wa kuzoeana nae na kujuana nae
Ni kweli..lkn ujue ukiwasiliana na mtu kuna picha fulani inakujia na mara nyingi ni tofauti kabisa na uhalisia.Miandiko sio tabia wengi tupo nyuma ya keyboard tunajua
Ila kiuhalisi ni wa ovyo sana
[emoji467] [emoji467] [emoji467] [emoji467]
Nalifahamu hilo dada kwako na halitaweza kutokea kabisaBora wewe watatuu...
Zaidi yako siwezi tena
Duh..Kama umri wako ni 45+ karibu pm tujenge ushkaji.
Nakumbuka ulinifundisha kipindi kileeeeSawa kabisa. Unaijua geography vizuri!
Ngoja aje basiiiii...huwa namquote mara chache.Unaningusha bana anza kumzoea kwenye kumqoute
Shemeji mbona umecheka tangazo kama la kazi za serikalini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo timu imekamilika hamtaki kupitwa na jambo[emoji1] [emoji1]
Mimi ndo najutaaa kabisaaa mpaka nalia hehehehe hakiii wakikupa laki 5 utoe siri zangu usisahau kuwaambia namiliki kispacialWewe niseme tu maana najutia kuonana na wewe....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
JamaniKweli kabisa hasa yule id yake inayoooanzia na herufi kama mojaa asipobadilika na id yakee ileee nyingine ya michezo pendwa atawatesa san wanawake wa Jf
EwaaaaaWanawake wa dar banah sio kwa maringo hayo, kwahiyo sisi wa mkoani tukija dar tusihangaike kuwatafuta [emoji57][emoji57][emoji57],ipo siku tuu mtaona umuhimu wetu
Dah upo deep unawajua vizuri.Kweli kabisa hasa yule id yake inayoooanzia na herufi kama mojaa asipobadilika na id yakee ileee nyingine ya michezo pendwa atawatesa san wanawake wa Jf