Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Mambo ya kitoto ndo yapi?? Basi wewe na Ngabu hamtofautiani kwenye jino kwa jino. Kupenda league ni utoto pia.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Hao watu ni balaaa ingawaje sio wote
kwanza huwa najiuliza unakutana na mtu anaetumia fake ID ili iwe nini ndio maana wanakutwa kwenye viroba kutana na watu kwa sababu mfano mimi huwa na kutana na wana jf wengi tu wale wanaouza vitu wakaweka mawasiliano yao nawatafut kupiti no zao sifati mtu pm nakumbuka nimetumia pm mara 2 tu na ni kwasababu
 
Punguza hasira kaka chuki humchoma anayehafadhi
 
Kwani Putin uko na miaka 18
 
Punguza hasira kaka chuki humchoma anayehafadhi
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Maandiko yanasema hivyo. Mimi nina moyo mweupe sana. Sikai na hasira. Ukinikwaza nakupa hapo hapo namove on. Sibebi chuki kuukosesha moyo amani bure. Tena watu za humu ndo kabsaaaaaaaaa

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kwiikwiii iiiii
Ndio maana wanakutwa kwenye viroba sababu ya kutaka mahusiano yasiyo ya msingi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…