Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Sio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah
Mkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..

Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..

Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..
 
Tatizo ni kwamba unakuwa na expectations kubwa. Kua wa kawaida, jenga urafiki taratibu na usilazimishe. Na kama nia ni kupata mpenzi basi utaangukia pua. Mapenzi yaje naturally!
 
Duh leo siti ya mbele kabisa
Nije kwenye mada sasa upo sahihi kabisa mkuu chezea siti ya mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana kwa kuwahi siti namba 2 mkuuu
 
Tatizo ni kwamba unakuwa na expectations kubwa. Kua wa kawaida, jenga urafiki taratibu na usilazimishe. Na kama nia ni kupata mpenzi basi utaangukia pua. Mapenzi yaje naturally!
Niko kawaida best na pia Nina marafiki wa kutosha ..kupata mpenzi sio expectations kubwa kwangu

Expectations yangu kubwa ni kuona ujamaa wenye afya ya kustawi hata kama mtakosana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…