Mama take risk. Utajua chokoraa huko baadae sasaWala simjui vzr, hata humu jf sijazoeana nae kabisaaa. Ila ananitesa nafsi. Ukute upande wa pili ni bonge la chokoraa
Unajua siri nyingi mnoooSio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah
Niongeze na Mimi tuwe sitaVizuri sana mm ninaojuana na nyie mnanitosha mnoo yaan sihitaji wengine niliokuwa nao mnanitosha hamzidi wa5 mnajijua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri
Acha tu mwenza..tumeambia wanawake haturuhusiwi kuonyesha mafeelings.Si umwambie sasa
Duh..Subiri kidogo ntakupatia.
Unacheka nini?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamani nahisi kama ni mimi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ha haaa itanoga nikimwambia mwenyewe. Tatizo mpole sana nashindwa jinsi ya kumuingia. Natamani tu awe rafiki...
Hapana mwenza ikizidi inabidi tu tuonyeshe kisa cha kufa na tai shingoni ni niniiAcha tu mwenza..tumeambia wanawake haturuhusiwi kuonyesha mafeelings.
Ngoja nijisogeze huenda ni mimiKuna mtu napenda comments zake mpk nimeanza kumpenda. Anaonekana mpoleee...ila mmh!
Kumbe we ni mwoga kama dingi?Unacheka nini?
Ha haaa uchokoraa wenyewe anakuanzishia uzi wa kukuponda! Aku!Mama take risk. Utajua chokoraa huko baadae sasa
Daaah..Inadaiwa ana matako makubwa kama ya kwangu
Kwakweli inabidi unianiambie mama mkweBwana ba mkwe nitakwambia
Hatujijui bwana wee. Mimi kati ya watu nawaaminigi ni wanaume labda na ndo maana niko nao wengi nje ya humu. Wanawake mlikua wawili tu kaongezeka mmoja jana na unajua kwaniniVizuri sana mm ninaojuana na nyie mnanitosha mnoo yaan sihitaji wengine niliokuwa nao mnanitosha hamzidi wa5 mnajijua
Nimeipenda mbinu yako unayoitumiagaHapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri
Hahahhaha lakini unabaki nayo moyoni mtafute home boyKwakweli inabidi unianiambie mama mkwe
Teh...you wish!Jamani nahisi kama ni mimi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Leo mamangu demi namwona kawa mpole sanaHapana mwenza ikizidi inabidi tu tuonyeshe kisa cha kufa na tai shingoni ni ninii
Sio lazima wakutaje hapa inawezekana kwenye pm zao mambo yako ni motoooWapi huko nimetajwa mama mkwe