Nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku

Bangi tupu,ulipotaja jina la Tunda tu nikaona huyu mleta uzi atakuwa yupo na stimu za ganja kichwani.
 
Tumpongeza kijana mwenzetu kwa umri huo wa miaka 29 kuweza kumiliki wazo ambalo limemuingizia billion 19 kwa Afrika ni wachache sana umri huo kwenye akaunti kumiliki 5.4billioni alizochukua DPP na tulikuwa hatuoni makeke yake hata kwenye mitandao.!
Mungu amubariki aweze kurudi tena.!
 
Nimeona mpka Tunda yupo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa itakuwa ana matatizo ya akili
Tatizo hadi Forbes watoe list ndo muamini. Msiamini kila kitu cha mabeberu.
 
Sasa naanza kujua ni kwanini tunashauriwa kuandika kwa aya,Aya ya kwanza imeharibu bandiko lote.Unataja taja watu kuwa ni mamilionaire hujui ni kesi hiyo? Unamtaja mtu wakati ata TRA hawamtambui kama ni mlipa kodi
 
TUJIKUMBUSHE kuibuka vijana mamilionea kwenye awamu hii kama Diamond Platinumz, Fred Vunjabei, Lemutuz Superbrand, Edo Kumwembe, Shilole, Frank Knows, Diper Rato, Tunda Capuccino na wengine wengi.

Tangu lini lemutuz akawa kijana?!
 
Point yako nn umeongea pumba tu kina edo kumwembe ni mamilionea kina limutuz Uzi wa hovyo kabisa
Jamaa kaandika pumba la kiwango kikubwa sana, kwanza nilihisi analeta utani nikaja kugundua yuko serious sana.
 
Sasa naanza kujua ni kwanini tunashauriwa kuandika kwa aya,Aya ya kwanza imeharibu bandiko lote.Unataja taja watu kuwa ni mamilionaire hujui ni kesi hiyo? Unamtaja mtu wakati ata TRA hawamtambui kama ni mlipa kodi
Usifanye maisha magumu kiasi hicho... vijana huwa tunaitana Kiongozi, mkuu, boss nk huku hatuna uongozi wala uboss. Relax.. zingatia points zilizopo
 
U Utakuwa umepigwa kimango kirefu mzee sio kwa hii comment yenye ugwadu mkali 😁😁😁!

Usisahau kuwekeza kwenye bitcoin mpya ile naona kuna kenge kashaanza kuipromote majukwaani hapa JF.
 
Hakuna ndoto ambayo haiwezekani endapo utaamka na kuitekeleza hiyo ndoto.
 
.The way to success itself is successfully,hao waliotajwa ni mamilionea watakuwa nayo au wako kwenye njia ya kumiliki mamilioni.Ni role mode kwa vijana kuweza kujifunza kwenye hatua ya mafanikio waliyoyafikia
 
Wengi waliomshambulia mtoa mada bila shaka walishapigwa na huyo Mr Kuku! Siyo bure!

Maana haiwezekani comments karibu zote zinaongelea hiyo list ya majina ya millionaires tu na kuacha hata hiyo aya ya mwisho ambayo angalau ina ujumbe unaoeleweka! Pathetic!
 
U
Utakuwa umepigwa kimango kirefu mzee sio kwa hii comment yenye ugwadu mkali [emoji16][emoji16][emoji16]!

Usisahau kuwekeza kwenye bitcoin mpya ile naona kuna kenge kashaanza kuipromote majukwaani hapa JF.
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Naona watu wana hasira sana na mtoa mada utafikiri yeye ndiyo Mr Kuku! Na wapigwe tu maana wajinga hatujawahi kuisha duniani!
 
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Naona watu wana hasira sana na mtoa mada utafikiri yeye ndiyo Mr Kuku! Na wapigwe tu maana wajinga hatujawahi kuisha duniani!
Nakumbuka waliambiwa humu, kuna bwege mmoja akaja na concept ya crowd farming, ooh wabongo washamba sana hii ni crowd farming model inatumika sana Nigeria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na lengo ni kumobilize resources kwa wasio na mitaji mikubwa ili kushea sijui na blaa blaah nikasema hiii! Wacha movie iendelee
 
Habari zinasema watu zaidi ya 50 wamelizwa na Mr Kuku.
 
Habari zinasema watu zaidi ya 50 wamelizwa na Mr Kuku
Hahaahah.. kweli nakumbuka nilisomaga hiyo comment. Nimejifunza hawa wafanyabiashara wanaoenda kwenye Media na kujitangaza mambo yao ya ndani huwa mwisho unakuwa mbovu hasa vijana. Kwa mfano yule Patric Ngowi wa Solar, Shamim wa kibubu na wengine wa aina hiyo. Sasa hivi kuna Vunjabei... kimsingi vijana watulie mafanikio yatajitangaza tu yenyewe hakuna haja ya kwenda kwenye media na kusema nina utajiri wa 4billion.
 
We jamaa sio mzima wewe asee. LeMutuz na Tunda na Shilole ni mamilionea?

Yaani mifano yako imeuondolea credibility uzi wako wote

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Nilikua najiuliza hilo swali
Labda na mimi nikiwa na Dallar kadhaa ghetto kisha watu wakajua kama ninamiliki kiasi hicho cha pesa ntaitwa Dollar-onea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…