R RicMbowe Member Joined Nov 21, 2018 Posts 84 Reaction score 36 Dec 25, 2020 #61 diranqhe said: Tunda ni miongoni mwa wamiliki wa maduka makubwa ya nguo hapa nchini. Edo ni mwandishi wa kimataifa... anaishi Mbezi Beach wa wazito. Click to expand... Kuna vitu viwili, kuwa tajiri na kuwa maarufu, sio kila mara vinaenda pamoja bro
diranqhe said: Tunda ni miongoni mwa wamiliki wa maduka makubwa ya nguo hapa nchini. Edo ni mwandishi wa kimataifa... anaishi Mbezi Beach wa wazito. Click to expand... Kuna vitu viwili, kuwa tajiri na kuwa maarufu, sio kila mara vinaenda pamoja bro
R RicMbowe Member Joined Nov 21, 2018 Posts 84 Reaction score 36 Dec 25, 2020 #62 Nyumisi said: Huyu mr. kuku ndo nani na alikuwa anafanya kitu gani... Click to expand... Ni kuku mmoja aliewatia watu umaskini
Nyumisi said: Huyu mr. kuku ndo nani na alikuwa anafanya kitu gani... Click to expand... Ni kuku mmoja aliewatia watu umaskini
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Dec 25, 2020 #63 Hao mamilionea uliowataja ni baada ya kuona huko insta wana followers 1M+ we ukajua ni mamilionea au umetumia vgezo gan
Hao mamilionea uliowataja ni baada ya kuona huko insta wana followers 1M+ we ukajua ni mamilionea au umetumia vgezo gan