Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

Kama ulivyoandika ndivyo alivyosema mshauri hata kama alibakiwa na stand za speaker ndani aziuze tu.
 
Jf bana yaani kila mtu akiweza kulog in basi anajiona msomi Tena mbobezi ona alichokiandika huyu jamaa pumba tupu,
 
Unaweza kukuta ni mwl huyu , nimesoma sentesi moja nikahisi njaa.kusoma komenti nikaelewa kinachoendelea. Kuwa kuna MTU kapotea njia.
 
Chizcom....!
Ukiyaona yote yanayofanywa na BAKWATA, Sheikh Salum na viongozi wengine wa dini unaona kabisa Mz3 Yusuf anajitesa tu bure.

Kiongozi wa Dini anayekula kwa Hisani Ya Mtawala.

Asiyeona Tatizo Lolote Kwa Kilichomkuta AKWILINI AKWILI au TUNDU LISSU ana TOFAUTI GANI na wadhambi wengine ?

Bora hata Mzee Yusuf Mziki Wake HAUUWI WATU wala KUUNGA MKONO MAUAJI.
 
Rudia bandiko huenda unahoja
 
nimerudia kusoma zaid ya mara tatuu, sijaelewa loloteeee
 
mhhhh mie nimeona sielewi nikasema nisome comments za waja huku chini naona wanazengo nao hawajaelewa kama mie
 
Unajua nimejikuta nacheka sanaa dahhπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sikuwahi kufikiri kuwa ipo siku nitasoma andiko la kiswahili na nikashindwa kuelewa.
Naamini hata mleta mada haelewi alichokiandika na anapitia comment za wadau ili na yeye ajue alikuwa anamaanisha nini kwa alichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…