Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

Hongera ndugu huna tofauti na wale wanaoandika vitabu kwa kiingereza cha vijijini, yaani mpaka ukae lisaa lizima ndo uelewe
 
Aliyeandika pia hajui ameandika nini sembuse wewe msomaji?
 
Hahaha. Sawa Mkuu tumekuelewa. Wewe ni mbobezi wa lugha. Una uwezo mkubwa sana wa kucheza na lugha kufikisha ujumbe.
 
Nilichoelewa ni kwamba Mzee Yusufu kaacha ulokole karudi kwa shetani
 
Nilikuwa najiuliza kwanini bangi izuiwe wakati hata pombe ni dawa ya kulevya...kumbe waliona mbali.
 
Uropokaji wa mzee yusuf dhid ya mashekh na uislam angeufanya mtu wa dini nyingine wangeandamana hadi kwa mkuu wa nchi
 
Alie elewa alicho andika anieleweshe siamini kama nimezeeka nikiwa kijana

Kama ndo matunda ya chuo kikuu basi ni halali watu waseme hamna ajila
 
Mkuu mimi ni kilaza au umeandika lugha ya kwako mwenyewe? Mbona sielewi kabisa.
Hahaaaaa Daaah! Nilifikiri pekeyangu nimesoma hadi mara2 ikabidi niende kwenye komenti ndio nimejua sio shida yangu pekeyangu.
 
Hawezi kurudi katika game la muziki, ila mimi kwa sasa naoma lkama kuna movie anatengeneza maana mambo kadhaa ameyakana kuhusika nayo.
 
Back
Top Bottom