Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

Sina neno zaidi ya kuunga mkono hoja yako
 

 
Ngoja na wewe siku ije ikukute kwa jambo lolote lile litakalosababishwa na uzembe wa Selikari ya CCM ndiyo akili itakukaa sawa
 
Mtoa mada kwa akili yako unataka kila mtu aliopo eneo la tukio ashike chepe achimbe tobo aingie ndan akatoe watu? Mbona sijaona mbowe na tundu wakiingia kwenye kifusi kuotoa watu? Halaf ni ARUSHA sio ALUSHA kukicha kuwatukan watanzania kuandika hujui!?
 
 
Tundu Lissu na Mbowe walichaguliwa lini kuongoza hii nchi? Punguza mihemko. Hujawahi kumsikia Bashite anatamka ALUSHA au unajitoa ufahamu kwa makusudi?
 
Alusha ni kitu gani? Wewe wenyewe kumbe hamnazo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…