Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

Msikilize Bashite anavyoitamka ARUSHA. Nimeandika hivyo mahsusi kwa ajili ya Bashite.
Sawa mkuu, nilikuwa sijui sababu ya wewe kuandika hivyo ndiyo maana ilinishangaza sana. Bashite ni ziro brain.
 
Watanzania ni wajinga sana. Hapa mtaani watu wanasema eti kuandika kwa ghorofa ni wahindi wametoa kafara ili biashara zao zistawi. Taifa hili lina watu mbumbumbu sana.
 
-Kama wewe upo Kariakoo tuone picha yako
-Hujaelelza chochote cha kufanyika zaidi ya kulaumu mwanzo mwisho
-Toa mapendekezo yako nini kifanyike ili makosa yasijirudie
-Janga limetokea na bado watu wanaendelea kuokolewa kwa vifaa duni tulivyo navyo, nini mchango wako wa hali na mali

Na log off!
Kulipa kwake kodi na kulaumu kama mambo yanaenda ndivyo sivyo ndio mchango wake (yeye kafanya wajibu wake) wengine hawajafanya ndio maana yametokea ya kutokea..., Hili nilishaliongelea kivingine pengine ila na hapa linahusu..., Kila mtu akifanya wajibu wake tutafika bila shida (Na wajibu wa huyu ni kulipa kodi anayolipa na kulalamika.., that is good kuliko machawa wanaosifia hivyo kuwapa motisha wazembe waendeleze uzembe)
 
Mkuu tusaidiane kuwaelimisha hawa machawa ipo siku wataelewa
 
Back
Top Bottom