Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na kuweka avatar tamanishi, kiuhalisia hao ma member hawafananani kabisa na wanayoyasema humu ndani.
Nipo tayari kusahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi jaribuni kuishi maisha halisi na siyo fabricated life.
Nipo tayari kusahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi jaribuni kuishi maisha halisi na siyo fabricated life.