Unbounced
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 345
- 434
Bora wawe fake kwa kila kitu Ili wajiamini kutoa michango yao katika Mada tata na hasa zile za kumuhusu Dereva mwendawazimu na kundi lake la vichaaaKwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbali mbali ianzshwayo na baadhi wa Memba wa Kike humu kwenye Jamvii la Mahusiaono na hasa wale wanaojiita Majina ya Kuvutia na Kuweka Avatar Tamanishi, Kiuhalisia hao mamember hawafananani Kabisa na wanayoyasema humu ndani..
Nipo Tayari kuasahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi Jaribuni kuishi Maisha halisi na siyo fabricated life..
Wenye Povu za Omo Njoooni
Siwatetei ila ni mtizamo wangu msinitukane plz!