theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kuna vitu vingi tu vya kufikiria mkuu atleast muda mwingine uwe unajidunga li wine lako ukiwa nyumbani....Halafu niwe nafanya nini muda huo? Sili bata sana lakini basi tuu.
Labda uwe binti mdogo kiumri tofouti na hapo utakuja pishana na bahati siku moja kwa tabia yako ya kujiachia club labda upate mwanaume ambae mnaendana kitabia..... [emoji4]