Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Hahahahaaaaa......
Kwa bahati mbaya mgonjwa wa Dodoma ni Mahondaw.
Watu wabayaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaa......
Asalalalee watu wajaribu kukeep low profile kuna watu humu wana mapesa wako kimya tu ,hutowaona wakijisemesha semesha ,kuwa na gari kitu cha kawaida tuUkitaka kuishi JF kwa amani sema
1.Unakaa kwa mtogole
2.Huna kazi au mfanya usafi mshahara 45,000
3.Umesoma Amazon college kozi ya kushona au umeishia la saba
4.Ndoa yako inakusumbua sana
Utaishi kwa amani na utakuwa na marafiki wengi sana.
Acha tuWanawasema wanawake wa humu wanaume je,wale mabazazi wengine mpaka wanafungukiwa uzi wanashika namba moja jf unadhan uongo?
Mwanaume wa jf anakuambia yupo single kumbe upo 1000 kule ,wanafake kweli humu na kujifanya wajuaji kumbe hovyo tu kiuhalisia hawapo hivyo kabisa hawana mvuto,nguo wanazovaa utacheka ,wapo baadhi wachache sana wanaojielewa humu kwa kila kitu
Kuna vituko sana jf hasa wanaume wana vituko sanaAcha tu
Ila mie sijawahi kukutana na wa hivyo
Japokuwa wengi ni mabazazi.
Wengine wana mpaka ID mbili leo anakuja na hii kesho anakuja na nyingine
Ingependeza tukapata kujua kinachoendelea...!!
Kila mtu na maisha yake. Kila mtu na tabia yake. Watu wote hawawezi kuwa sawaAsalalalee watu wajaribu kukeep low profile kuna watu humu wana mapesa wako kimya tu ,hutowaona wakijisemesha semesha ,kuwa na gari kitu cha kawaida tu
Wengine sasa sijui ushamba na misifa ya kihaya
Umenena kupitia hapa umekutana na mtu ambaye mpaka sasa Siamin kabisaaaAsalalalee watu wajaribu kukeep low profile kuna watu humu wana mapesa wako kimya tu ,hutowaona wakijisemesha semesha ,kuwa na gari kitu cha kawaida tu
Wengine sasa sijui ushamba na misifa ya kihaya
Watu na heshima zao na huwez kuona anajisifia ni mdada ambaye watu wanamdharau lakin ni fireeeeeeUmekutana na yupi?
Jamani tungeitana tufake vizuri maisha hahahahaaaaa![]()
Tuendeleeni tu kufake maisha
Hapo vidole tu ndiyo vimekuangusha, ila mguu Mashallah![]()
Tuendeleeni tu kufake maisha
Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya KihivyoHapo vidole tu ndiyo vimekuangusha, ila mguu Mashallah
Kabisa aagize na bhange namletea kijinga cha moto [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umenifurahisha sana mkuu.kunywa castle lite nitalipa.
Naamini mpaka mashavu yatakuwa yamejazia hivyo hivyo kama mkonoSiweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo![]()
Sasa wewe ni yupi miongoni mwa hao kwenye avatar?Am Jane Msowoya, na natumua avater yangu halisi,
Wewe ndo unae fake mpaka jina sio halisi
KisiaSasa wewe ni yupi miongoni mwa hao kwenye avatar?
una vidole vizuri...vimenifanya niwaze pete nzuri kwa mara ya kwanza...Nzuri mkuu.