Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Chief wale wa povu la Aerial na Sunlight tuelekee wapi? Naona umewaita wa Omo tu!!

It ain't fair, 'tanua' uwanja wa povu!!!
Huwa napenda wanawake wenye wigo mpaka kimawazo kama ww, haya wa aerial na sunlight njooni kwangu [emoji56]
karibuni any time sibagui mapovu wala watu.
 
Afafanue nini mu vimeo tupu, kuna mmoja anajifananisha na gari fulani matata sasa muone alivyo utadhani kiboko.
Hahahaaa mie sio kimeo mkuu najiamini na sifake nipo halisia kila ukionacho kwenye maandishi ndivyo nilivyo
 
Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Mkuu kwani ulitaka aweje na ulikkua humjui?

Au hata kwa mawasiliano ya siri alikudanganya?
 
Hahahaaa mie sio kimeo mkuu najiamini na sifake nipo halisia kila ukionacho kwenye maandishi ndivyo nilivyo
Heri yako, kama usemayo ndiyo binafsi nakerwa na wadada vimeo alafu wapiga domo huku kichwani weupe peee![emoji23][emoji23]
 
Usemayo mkuu ni kweli kabisa wengi wao karibu wote wanaishi maisha ya maigizo na pia wako frustrated sana..........sijui shida nini
Wengi wao ni frustration ya kimahusiano
1. Hawajaolewa
2. wametendwa sana
3. wameolewa ila kwa sasa wanajutia ndoa zao especially kwa waliokosea kuolewa na mtu sahihi(mume ampendaye)
4. shida za kimaisha yaani kuna maisha yao waliyopenda wawe wanaishi ila maisha ya halisia ni magumu au tofauti hivyo wao hupendelea zaidi kuishi ktk fantasies badala ya reality.
5. stress za makazini tu au kuSeek attention ya watu.

Tuwe tunawapa attention nzuri dada zetu, mama zetu, viumbe wote hawa wakike wasipopata attention ya watu wanaowapenda family etc matokeo yake ndio hayo wanajijengea fantasies humo wakiamini kuwa watakuwa na furaha, wanajipa moyo huko. Hakuna mwanamke asiyetaka kupendwa iwe na nduguye, kk, dada, mama etc hata na mumewe n.k

Women wana emotions sana ukitaka kuwapata huhitaji swagger wala pesa, just care for their emotions, how they feel etc she will leave everything just for you hata miss chaga aliyekubuhu kwa kupenda hela unaweza kumpata tu this way, mpe your time, care her needs, emotions, be concerned ataanza kuishi real life mwenyewe tu.
 
Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sky eclat umeua mama, you made my weekend.
lots of love to you!
jioni njema kwako
 
Hahaaa. Nikurudishe hivyo yule wa kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.

Au sijakuelewa? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kweli ni utoto. unajua nimeangalia mwaka aliojiunga mleta mada na uzi wake vikawa haviendani kabisa
 
Heri yako, kama usemayo ndiyo binafsi nakerwa na wadada vimeo alafu wapiga domo huku kichwani weupe peee![emoji23][emoji23]
Ndivyo nilivyo mkuuu japo hyo picha avatar sio yangu ila jina ni kifupi cha majina yangu. Yani siwezi kuwa two sides at one place. Mara leo nimeolewa kesho sijaolewa nooo.
 
ea68d47af2eadd280bf7e77182b4ae9c.jpg

Tuendeleeni tu kufake maisha
Wewe acha tabia mbaya mambo gani haya ya kutuharibia siku sasa
 
Ukweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeake

Afu Kuna habari nyingine humu za kichochezi zinahitaji akili ya ziada .. Lasivo unaeza panic ukagombana na mtu wako bureeee

Wengine mpaka waleo wanakomentigi na kuweka Mr smart kwenye comment zangu....
Safi sana... Love you sana mahondaw wangu...
 
Back
Top Bottom