Usiwaseme wadada au wanawake wa jf sema na wanaume wa jf,kuna wanaume wana tabia mbaya sana jf lakin kwa vile ni wanaume wamenyamaziwa ingekuwa wanawake tunafanya mshaongea kama nin,hebu mjitathimini mjue thamani ya wanawake,wazoeeni wanawake walivyo,tukianza chambuana humu mtabaki midomo wazi
Kuna watu humu wana stress wanakuja zitolea humu,kuna watu full majigambo wakati kiuhalisia hakuna kitu kabisa ,kuna wanaume waongo humu jf walifaa waishi sayari yao wanadanganya mpala wanajisahau
Ngoja nikae vyema kwanza