Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Hiyo avatar ni wewe mkuu ama ndo ku fabricate kama asemavyo mleta mada?Jina langu sijui ni romantic au!!! Mkuu nijibu hebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo avatar ni wewe mkuu ama ndo ku fabricate kama asemavyo mleta mada?Jina langu sijui ni romantic au!!! Mkuu nijibu hebu
Hahaaa hapana mkuu bange utamfanya aanze yale ya nabii tito.Kabisa aagize na bhange namletea kijinga cha moto [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ooo yeaahh we waiting for yours as well...hahaha IT IS YOU...Mmejua kunogesha uzi kwa hayo mapichapicha, please keep them coming🙄
Hilo jina ni langu ila avatar sio mie walaHiyo avatar ni wewe mkuu ama ndo ku fabricate kama asemavyo mleta mada?
Kwa uzi huu Badilikeni tu wadada mnao "fabricate" maisha JF.. .waacheni ME Waoneshe maisha ya kumiliki gari Jf, kuwa na degree Jf, kuwa na kazi nzuriJf, kuwa na nyumba nzuri Jf etc etcKwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbali mbali ianzshwayo na baadhi wa Memba wa Kike humu kwenye Jamvii la Mahusiaono na hasa wale wanaojiita Majina ya Kuvutia na Kuweka Avatar Tamanishi, Kiuhalisia hao mamember hawafananani Kabisa na wanayoyasema humu ndani..
Nipo Tayari kuasahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi Jaribuni kuishi Maisha halisi na siyo fabricated life..
Wenye
Haya bana mkuu nimekoma sirudii tena.Kwa kuchungulia avatar mkuu
Muambie na yeye aige tu wala asihangaike na yasiomhusuSema kuigiza ni kipaji mjue. Waacheni wanaogiza na wanaweza kuishi kwenye maigizo yao. Sema mtuache bwana. Ndo maisha yetu tushaamua.
Mkuu humu ni mupana sanaa wote wapo humu wala usishangaeabsolutely true mkuu!!.[emoji106]
JF kila MTU anamiliki mjumbaaa au amepanga nyumban nzima[emoji23][emoji23] lkn in reality weeee siunajua weng ndio hawa hawa wafanyakazi wa serikal ya awamu yatano.
Nilianza kushituka.,,Kwenye ule Uzi wa kuongeza mishahara na kupandisha madaraja vilio vilikua vingi mno nikajua aaaaaahhh kumbe[emoji23]
Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochoteNa unahakika gani kama ni wadada!!?
Kuna ID nyingine ni vijeba kama ID ya .......
Sijakusikia kitambo labda, huwa sipi anga zako ndio maanaHujanisikia??? Nipo mimi sana tu
Jamani hizi avatar gonna kill somebody. [TAG]Sabinaa[/TAG] hiyo avata yako ni wewe halisi?Kama kina nani wataje wanaojifanya hivyo
Sasa watu wana ID feki humu anategemea ukweli upi?Hahahaaaa. Akome umbea.
mmmh kun makubwa hum asante mleta uziMkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Ila mguu hapo..!! Nahisi nitapofuka!Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo![]()
Wakike au Wakiume akipita hapa anajisikiaje kwa mfano Ngoja nimsaidie kuliaMkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Kwanza we ni mkaka au mdada?Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Jambooo Mkuu nipo nilikuwa nakusanya ushahidi kwa ambao watabisha niumwage humu hahahahahahaNdo jf ilivyo!! Mtu anaandika halafu anasepa
Ndio maana yukle mkurya wako alikuwa na wivu. I cant imagineNdio